Muonekana wa nje ya kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akiteta jambo na (CDF) Mabeyo katika sherehe za nje mara baada ya misa ya kufungua na kutabaruku kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akiwa na muimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho ambae alishiriki katika Misa ya kufunguliwa kwa kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akiwa na wanakwaya wa kwaya ya Mt.Kizito Makuburi Central DSM, who also sang in that mass.
Askofu SANGU akiwa na wanakwaya wa kwaya ya Mt.Maximiliani Segerea, who sang in Mass.
Askofu SANGU akiwa na Viongozi wa Serikali na vyombo vya usalama.
Askofu SANGU akiwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka.
Askofu SANGU akiwa na Naibu Gavana wa benki kuu ya Tanzania Dr.Benard Kibesse.
Askofu SANGU na IGP Simon Siro.
Picha ya pamoja ya Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu na (CDF) Venance Mabeyo ambae ametoa mchango mkubwa katika kufanikisha ujenzi wa kanisa jipya la Mt.Petro pamoja na mkewe Tinna Mabeyo ambae pia ni mwanakwaya wa kwaya ya Mt.Maximilian Segerea.
Paroko wa Parokia ya Ilumya akionyesha hati maalumu ya uthibitisho wa kufunguliwa kwa kanisa jipya la Mt.Petro.
(CDF) Venance Mabeyo akisaini hati maalumu ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro kwa niaba ya waamini wa Parokia ya Ilumya.
Paroko wa Parokia ya Ilumya Pd.Michael Kumalija akisaini hati maalumu ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akisaini hati maalumu ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro.
(RC) wa Simiyu Antony Mtaka,akishiriki Ekaristi takatifu.
(IGP) Simon Siro akishiriki Ekaristi takatifu.
(CDF) Venance Mabeyo akishiriki Ekaristi takatifu.
Baba Askofu SANGU akipeana mkono wa amani na mkuu wa mkoa wa Simiyu ANTONY MTAKA, pembeni ni IGP SIMONI SIRO.
Askofu SANGU akiongoza sala maalumu kwa ajili ya kubariki tablenakro ya kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akibariki Tablenakro ya kanisa jipya la Mt.Petro
Askofu SANGU akiongoza Sala maalumu kwa ajili ya mshumaa utakaowekwa katika Altare baada ya kutabarukiwa.
Askofu SANGU akifukiza ubani Altare ya kanisa la Mt.Petro.
Askofu SANGU akiwasha ubani ikiwa ni sehemu ya kutabaruku Altare.
Askofu SANGU akiendelea kutabaruku kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akitabaruku Altare ya kanisa jipya la Mt. Petro kwa kupaka mafuta matakatifu ya krisma.
Askofu SANGU akiendelea na misa.
Askofu SANGU akitoa Homilia katika misa ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro.
Askofu SANGU akipokea kitabu cha masomo kutoka kwa wasomaji ambao ni wanakwaya wa kwaya ya Mt.Maximilian Parokia ya Segerea Jimbo kuu la Dar es salaam
Askofu SANGU akibariki kanisa Jipya la Mt.Petro.
Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU akibariki maji kwa ajili ya kubariki kanisa jipya la Mt.Petro (kushoto ni katibu wa Askofu Pd. Richard Makoye na kulia ni katibu wa Jimbo Pd. Pastory Masunga)
Viongozi mbalimbali wa Serikali na vikosi vya Ulinzi wakati wa Misa ya Ufunguzi na kutafsiriwa kwa Mt. Peter (the first left is Simiyu Regional Antony Mtaka region, three left is the Deputy Governor of the Central Bank .Dr. Benard confirmed, nne kushoto ni IGP Simon Siro na wa tano kushoto ni CDF Venance Mabeyo).
Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU inspired the application for the opening of the Mt.Petro church.
Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU ni kuweka jiwe la msingi katika kanisa jipya la Mt.Petro kama ishara ya ufunguzi rasmi.
Paroko ya Parokia ya Ilumya Pd. MICHAEL KUMALIJA akifungua New Church ya Mt.Petro baada ya kuondolewa na Waziri LIBERATUS SANGU.
Mmoja wa Wanaparokia wa Ilumya, ambaye pia ni Mkuu wa Ulinzi na Usalama (CDF) VENANCE MABEYO addressing details to the Shinyanga Organization’s Advice Church LIBERATUS on the construction of Mt. Peter’s church shortly before the church was opened.
UFUNGUZI NA KUTABARUKIWA KWA KANISA JIPYA LA MT.PETRO PAROKIA YA ILUMYA WILAYANI BUSEGA MKOANI SIMIYU (JIMBO KATORIKI LA SHINYANGA)
Bishop Aloysius Balina of the Catholic Diocese of Shinyanga passed away on Tuesday 6th November ,2012 at around 11 am. MAY HE REST IN PEACE
The Mercy of God Shrine at St. Peter the Apostole Parish Nkololo
St. Peter the Apostole, Ngololo
St. Gregory the Great, Minor Seminary, Shanwa
St. Anna Parish, Old Maswa
St. Michael Parish , Sayasayu
Pre Form One Students in formation at St. Aloyce Ngonza Pre Seminary, Sayusayu.
Mipa Parish
Marian Grotto at Mipa Parish
Fr. Paul Fagan, the Pastor of St. Peter the Apostle Parish. Social Services and Evangelization are his Priorities in his Apostolate
Faraja FM Stereo, 91.3 Mhz
Mater Misericordiae Cathedral, Shinyanga Diocese.
Kanisa Kuu Mama Mwenye Huruma, Ngokolo Shinyanga.
View of St Peters Square in Rome.
Parishioners of Busanda Parish pause in a group photos in front of the Grotto of the Virgin Mary after Sunday Mass.

Jimbo Katoliki Shinyanga lapata Mashemasi sita (6)

Jimbo Katoliki Shinyanga lapata Mashemasi sita (6)

Askofu wa jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ametoa daraja Takatifu la Ushemasi kwa Mafrateri sita (6) wakati wa adhimisho la Misa Takatifu katika Sikukuu ya Kuongoka kwa Mtakatifu Paulo Mtume Januari 25 mwaka huu 2019 katika Kanisa Kuu la Jimbo, “Mama Mwenye Huruma,” lililoko Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga. Habari zaidi     ,Picha zaidi

 

 

 

 

 

 

NEW EVENTS

NEW EVENTS

UFUNGUZI WA KANISA JIPYA LA MT.PETRO PAROKIA YA ILUMYA,DISEMBA 26,2018 Soma zaidi

 

WELCOME

WELCOME

The Diocese of Shinyanga is located in the North West of Tanzania as one of the member Dioceses of the Lake Zone, in Mwanza metropolitan.

CATHEDRAL

CATHEDRAL

The Diocese has 48 Diocesan Priest, and 3 Salesian of Don Bosco Priests, 6 SMA Priests, Maryknoll fathers 5. They are working in 27 Parishes, Sayusayu Pre-form one Seminary and in one Diocesan Minor Seminary and Mipa Leadership School. More…

Bugisi T.C

Bugisi T.C

Shule ya Bugisi Training Centre, ilianzishwa na Masister wa O.L.A ( Our Lady of Apostles) mnamo mwaka 1996.  Hii ilikuwa na malengo ya kukidhi mahitaji ya watu wa mazingira ya karibu na chuo.  Ilikuwa imelenga kwa akina mama na wasichana wa Parokia ya Bugisi kufika kujifunza maarifa ya nyumbani. Zaidi …