Link-.http://www.catholicdioceseofshy.or.tz/utolewaji-wa-daraja-takatifu-la-ushemasi-kwa-mafratel-6-wa-jimbo-katoliki-la-shinyanga-24-1-2019/ Askofu wa jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ametoa daraja Takatifu la Ushemasi kwa Mafrateri sita (6) wakati wa adhimisho la Misa Takatifu katika Sikukuu ya Kuongoka kwa Mtakatifu Paulo Mtume Januari 25 mwaka huu 2019 katika Kanisa Kuu la Jimbo, “Mama Mwenye Huruma,” lililoko Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga. Hii ni kwa mara.. read more →

UFUNGUZI NA KUTABARUKIWA KWA KANISA JIPYA LA MT.PETRO PAROKIA YA ILUMYA WILAYANI BUSEGA MKOANI SIMIYU (JIMBO KATORIKI LA SHINYANGA) read more →

  • semina ya Elimu ya Muziki kwa waalimu wa Kwaya

Kamati ya Muziki Mtakatifu Jimbo Katoliki Shinyanga yaendesha semina ya Elimu ya Muziki kwa waalimu wa Kwaya katika Udekano wa Bariadi kuanzia tarehe 4 hadi 8 June 2018.     read more →

Askofu wa jimbo katoliki la shinyanga mhashamu LIBERATUS SANGU amekitangaza rasmi kigango cha kitangili kilichopo katika parokia ya buhangija mjini shinyanga kuwa parokia teule ambayo itakuwa chinbi ya usimamizi wa mtakatifu rosa wa lima. Tamko la kukitangaza kigango hicho kuwa parokia teule amelitoa siku ya jumapili tarehe 05th, October  mara baada ya adhimisho la misa.. read more →

Askofu wa jimbo Katoliki la Shinyanga mhashamu LIBERATUS SANGU amewaomba waamini wa jimbo la Shinyanga kuungana na wenzao wa jimbo la Tunduru Masasi kusali kumwombea askofu wa jimbo hilo Mhashamu CASTORY MSEMWA ambaye amefariki dunia jana huko nchini Oman. Akitangaza rasmi taarifa za kifo hicho kwa waaminimi wa jimbo la Shinyanga kupitia misa maalum iliyofanyika.. read more →

Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne mheshimiwa Mizengo Pinda afanya ziara jimboni Shinyanga na kutembelea miradi mbalimbali ya Jimbo. read more →