Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa na katibu wake Padre Richard Makoye akiwa amejilaza mbele ya Altare mwanzoni mwa Ibada ya Ijumaa

Walelewa wa shirika la kijimbo la Mtakatifu Bikra Maria Mama mwenye Huruma wakiwa katika ibada ya Ijumaa kuu

Padre Richard Makoye Katibu wa askofu akisoma Mateso ya Yesu katika ibada ya Ijumaa kuu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwsikiliza historia ya mateso ya Yesu katika ibada ya Ijumaa kuu

Padre Richard Makoye akiutambulisha msalaba mbele ya waamini muda mfupi kabla ya ibada ya kuabudu msalaba

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiupokea msalaba muda mfupi kabla ya ibada ya kuabudu msalaba.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akibusu msalaba

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu akiuonyesha msalaba kwa waamini muda mfupi kabla ya kuabudu

Mhashamu Baba askofu akiwaalika waamini waliokuwa nje ya kanisa katika ibada ya kuabudu msala kwa kuwabariki kwa pamoja bila kuugusa ili kuepuka maambukizo ya Virusi vya Korona

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiweka msalaba mbele ya Altare mara baada ya ibada ya kuabudu msalaba

Msalaba ukiwa mbele ya Altare