Mafratel wakiwa katika maandamano kuelekea kanisani kwa ajili ya ibada ya masifu ya jioni ambayo ni sehemu ya maandalizi ya kupewa kwao daraja takatifu la Ushemasi,nyuma yao ni Mamonsinyori pamoja na Mhashamu Baba askofu LIberatus Sangu

Fratel Placido Nkalangi kulia na Fratel Baltazar Zengo kushoto wakiingia kanisa katika ibada ya masifu ya jioni kabla ya kuteuliwa lkuwa mashemasi.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa na Mamonsinyori wakiingia kanisani muda mfupi kabla ya kuanza ibada ya masifu ya jioni.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiongoza ibada ya masifu ya joioni.

Mafratel wakiwa katika ibada ya masifu ya jioni muda mfupi kabla ya kuteuliwa kupewa daraja takatifu la ushemasi.

Baadhi ya mapadre wa jimbo wakiwa katika ibada ya masifu ya jioni.

Mkurugenzi wa miito jimboni Padre Robert Walwa akiwatambulisha mafratel mbele ya Mhashamu Baba askofu muda mfupi kabla ya kuteuliwa kupewa daraja la ushemasi.

Mafratel baada ya kuitwa mbele ya Mhashamu Baba askofu.

Fratel Patric Ngasa Dogani akikiri imani.

Mashemasi wateule wakikiri imani mbele ya mhashamu Baba askofu Libratus Sangu.

Mhashamu Baba askofu akisaini kiapo cha mmoja wa mahemasi wateule

Shemasi mteule Palacido Nkalangi akisaini kiapo chake mbele ya Mhashamu Baba askofu.

Shemasi mteule Baltazar Zengo akisaini kiapo chake mbele ya Mhashamu Baba askofu.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akisikiliza viapo vya Mashemasi wateule

Shemasi mteule Patric Ngasa Dogani akisaini kiapo chake mbl ya Mhashamu Baba askofu Liberatus Sanngu.

Wazazi wa shemasi mteule Patrick Dogani wakisaini viapo vya watoto wao kuthibitisha kuwatoa kwa ajili ya kazi za Mungu na kanisa.

Wazazi wa shemasi mteule Placido Nkalangi wakisaini viapo vya watoto wao kuthibitisha kuwatoa kwa ajili ya kazi za Mungu na kanisa.

Wazazi wa shemasi mteule Balatazar Zengo wakisaini viapo vya watoto wao kuthibitisha kuwatoa kwa ajili ya kazi za Mungu na kanisa.

Wazazi wa mashemasi wateule wakiwa katika picha ya pamoja

Monsinyori Martine Mhango kushoto na mwenzake Monsinyori Nobert Ngusa muda mfupi baada ya kutambulishwa mbele ya kanisa.

Mhashamu Baba askofu Liberatsu Sangu na Monsinyori Martine Mhango kushoto na mwenzake Monsinyori Nobert Ngusa muda mfupi baada ya kutambulishwa

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa na mashemasi watule muda mfupi baada ya ibada ya masifu ya jioni.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu na katibu wake Padre Richard Makoye,Mamonsinyori akiwa kwenye picha ya pamoja na mashemasi watule muda mfupi baada ya ibada ya masifu ya jioni.

u