WAAMINI WA PAROKIA YA SHINYANGA MJINI WAMEUNGANA NA PAROKO WAO PADRE ANATOLY SALAWA AMBAYE NI MKURUGENZI WA IDARA YA MAWASILIANO JIMBO KATOLIKI SHINYANGA KATIKA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUADHIMISHA MIAKA 25 YA UPADRE.

Misa hiyo imefanyika katika kanisa la Moyo safi wa Maria parokia ya Shinyanga Mjini nakuhudhuriwa na Mapadre,Watawa na Waamini kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya jimbo la Shinyanga.