MHASHAM BABA ASKOFU LIBERATUS SANGU  AKIWA KATIKA MAANDAMANO YA KUINGIA KANISANI PAMOJA NA MAPADRE WA JIMBO KATOLIKI LA SHINYANGA MUDA MFUPI KABLA  MISA YA KUBARIKI MAFUTA YA WAGONJWA NA YA WAKATUKUMENI NA YAKUWEKA WAKFU KRISMA TAKATIFU KUANZA.

Baba Askofu akitoa Mahubiri wakati wa Misa Takatifu

Baba Askofu akiwa na Mapadre wake wakati wakurudia Ahadi zao.

Baba Askofu akisubili kupokea mafuta.

Maandamano ya kuleta mafuta ya wakatukumeni ,Wagonjwa na Krisma Takatifu.

Baba Askofu Akibariki Mafuta.

Baba Askofu akiwa na wanajubilei wenzake wa miaka 25 ya upadre.

Baba Askofu akiwa na Mapadre wa miaka 25 na zaidi ya Upadre.

Baba Askofu na wanajubilee ya Upadre na utume wa Uimbaji.

Baba Askofu akiwa na mapadre wa miaka 14 hadi 24 ya Upadre.

Baba Askofu akiwa na Mapadre wenye Miaka 14 hadi 5 ya Upadre.

Baba askofu akiwa na Mapadre walio chini ya miaka mitano katika Upadre.