Padre Stephen Kadilo(Mhadhiri chuo kikuu cha Mt.Francisco Sayansi za afya na tiba Ifakara)akisoma somo la Injili

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akitoa homilia katika misa ya alhamisi kuu

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko wa kwanza kwenye kiti akishiriki adhimisho la misa takatifu ya alhamisi kuu 2020

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiongoza ibada ya kuabudu Ekaristi takatifu katika misa ya Alahamisi kuu 2020

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa amejilaza kifudifudi mbele ya Ekaristi takatifu kuomba huruma ya Mungu awaepushe watu wake na kuenea kwa Virusi vya Korona.

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa amejilaza kifudifudi mbele ya Ekaristi takatifu kuomba huruma ya Mungu awaepushe watu wake na kuenea kwa Virusi vya Korona.

mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwabariki kwa Ekarist takatifu waamni ambao walikuwa wamehudhuria katika adhmisho la misa takatifu ya Akhamisi kuu mwaka 2020