Maandano kuelekea kanisani

Katibu wa askofu Padre Richard Makoye akisoma somo la Injili katika misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akitoa homilia katika Misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akimwashia mshumaa mkuu wa wilaya ya Shinyamnga Jasinta Mboneko katika Dominika ya Pasaka Ishara ya Kristo kuondoa giza katika ulimwengu na kuleta mwanga

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akimwashia mshumaa mmoja wa waamini waliokuwa wamehudhuria katika Misa ya Dominika ya Pasaka

Viongozi wa Halmashauri walei Parokia ya Ngokolo na Viongozi wa serikali wakiwa wamewasha mishumaa yao katika misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa na katibu wake Padre Richard Makoye akiendelea na Misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwabariki waamini kwa maji ya Baraka katika misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiendelea kuwabariki waamini kwa maji ya baraka katika Misa ya Dominika ya Pasaka

Walelewa wa Shirika la kijimbo la Mtakatifu Bikra Maria Mama mwenye Huruma wakiwa katika Misa ya Dominika ya Pasaka

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akimkominisha katibu wa halmashauri walei jimbo Mwalinu James Msimbang’ombe katika Misa ya Dominika ya Pasaka