Maandamano kutoka Sakristia tayari kwa kuanza Misa ya Krisma takatifu

 

 

Shemasi Baltazar Zengo akisoma somo la Injili katika Misa ya Krisma takatifu

Wa kwanza kushoto ni makamu wa askofu jimbo Katoliki Shinyanga Padre Kizito Nyanga ,katikati ni Monsinyori Nobert Ngusa ambaye ni paroko wa parokia ya Shy Bush na kulia ni Monsinyori Martine Mhango ambaye ni paroko wa Parokia ya Wila wakiwa katika Misa ya Krisma takatifu

Mhashamu baba askofu Liberatu Sangu akitoa Homilia katika misa ya Krisma Kushoto ni Shemasi Patric Dogan na Kulia ni Shemasi Pracido Nkalangi

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiongoza sala maalum ya kubariki mafuta ya Wakatukumeni na wagonjwa

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiweka manukato kwenye Krisma takatifu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwaongoza Mapadre katika sala maalum ya kuweka wakfu Krisma takatifu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akipokea zawadi ya sanamu ya Mtakatifu Yohane Paul wa pili aliyozawadiwa na waamini wa parokia ya Sayusayu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa katika Picha ya pamoja na Padre Anataly Salawa wa pili kushoto ambaye ni mmoja wa mapadre wawili wa jimbo wanaoadhimisha Jubilei ya miaka 25 ya Upadre mwaka huu 2020 pamoja na mashemasi watatu wa jimbo

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa katika picha ya pamoja na Mapadre wawili wanaoadhimisha Jubilei ya miaka 25 ya Upadre mwaka huu 2020 Kushoto ni mjubilei Padre Anatoly Salawa ambaye ni paroko wa parokia ya Shiyanga mjini na Mkurugenzi wa mawasiliano jimbo na Kulia ni Mwenzake Padre Paschal Kassase ambaye ni Paroko msaidizi wa Parokia ya Ndala na mkurugenzi wa masuala ya Fedha Jimboni wengine ni mashemasi wa jimbo na nyuma ni Mamonsinyori Nobert Ngusa na Martine Mhango

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu katika picha ya Pamoja na mapadre wa Dekania ya Meatu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu katika Picha ya pamoja na Mapadre wa Dekania ya Mwadui

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu katika picha ya  pamoja na Mapadre wa Dekania za Shinyanga mjini,pamoja na dekania mpya za Nindo na Buhangija alizozitangaza baada ya kuigawa dekania ya Shinyanga mjini

Mhashamu Baba askofu katika picha ya pamoja na wawakilishi wa watawa wanaofanya kazi katika jimbo la Shinyanga

Mhashamu Baba askofu katika picha ya pamoja na watumikiaji waliotumikia Misa ya Krisma takatifu mwaka 2020

Mhashamu Baba askofu Katika picha ya pamoja na viongozi wa halmashauri walei jimbo

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu katika picha ya pamoja na Mapadre wa dekaia ya Nasa

Mhashamu Baba askofu katika picha ya pamoja na Mapadre wa dekania ya Bariadi

Mhashamu Baba askofu Libertus Sangu katika picha ya pamoja na Mapadre wa Dekania ya Maswa

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu katika picha ya pamoja na Mapadre wa Dekania ya Nindo

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwa katika picha ya pamoja na Madre wa Dekania ya Shinyanga mjini (Mpya)

Mhashamu Baba askofu katika picha ya pamoja na Mashemasi wa jimbo,Kulia Shemasi Baltazar Zengo (Nyalikungu) wa tatu Shemasi Pracido Nkalangi (Ngokolo) na wa nne Shemasi Parick Dogani (Nyalikungu)

Mhashamu baba askofu Liberatus Sangu katika picha ya pamoja na wawakilishi wa parokia katika misa ya Krisma