Mhashamu baba askofu Liberatus Sangu wa jimbo Katoliki Shinyanga akinyunyizia maji ya baraka Jeneza lenye mwili wa Marehemu Monsinyori Zacharia Buluda mwanzoni mwa Misa ya mazishi

Mapadre wakiwa katika maandamano kuingia kanisani,aliyeshika msalaba ni paroko msaidizi wa Parokia ya Mipa Padre Philemon Shija(Tupendane) na aliyeshika Picha ya Mrehemu ni paroko wa parokia ya Kitangili Pdre Raphael Islahim

Mhashamu baba askofu Edward Mapunda wa jimbo Katoliki Singida akiongoza misa ya Mazishi ya Marehemu Monsinyori Zacharia Buluda

Padre Dr.Emanuel Makolo ambaye ni Paroko wa parokia ya Ndala na mwenyekiti wa Dekania ya Buhangija akisoma historia ya Marehemu

Padre Dr.Emanuel Makolo akiendelea kusoma historia ya Marehemu

Mhashamu baba askofu Edward Mapunda wa jimbo Katoliki Singida akiendelea na Misa ya mzishi ya Marehemu Monsinyori Zacharia Buluda

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akitoa homilia katika Misa ya Mazishi ya Marehemu Monsinyori Zacharia Buluda

Mhashamu baba askofu Edward Mapunda wa jimbo Katoliki Singida akifukiza ubani Jeneza la mwili wa Marehemu

Mhashamu baba askofu Edward Mapunda wa jimbo Katoliki Singida (kulia) akiwa na mwenyeji wake Baba askofu Liberatus Sangu wa jimbo la Shinyanga katika Misa ya mazishi ya Monsinyori Zacharia Buluda

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu wa jimbo la Shinyanga akinyunyizia maji ya baraka Jeneza lenye mwili wa Marehemu

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu na mwenzake Edward Mapunda wa jimbo la Singida akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu

Mapadre wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu

Wawakilishi wa waamini wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu

Wawakilishi wa waamini wakitoa hesmiam zao za mwisho

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akisoma wosia wa marehemu Monsinyori Zacharia Buluda

Mapadre wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu kuelekea nje ya kanisa kwa ibada ya mazishi

Mapadre wakielekea kwenye eneo la mazishi

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiongoza ibada ya mazishi nje ya kanisa kuu katika eneo maalum la makaburi

Mapadre wakishusha kaburini Jeneza lenye mwili wa Marehemu

Jeneza lenye mwili wa Marehemu likiwa limeshuhswa kaburini

Mhashamu Baba askofu Edward Mapunda wa jimbo la Singida akitoa salaam za rambirambi

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akinyunyizia maji ya baraka kaburi

Mhashamu Baba askofu Sangu akifukizia ubani kaburi la Marehemu

Mhashamu Baba askofu Sangu akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu

Mhashamu Baba askofu Edward Mapunda akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu

Monsinyori Nobert Ngusa akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu

Mwakilishi wa familia ya Marehemu Monsinyori Zacharia Buluda akiweka mchanga kwenye kaburi

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akichora alama ya msalaba kwenye kaburi la Marehemu

Mhashamu Baba askofu Edward Mapunda akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Marehemu

Mwakilishi wa Mapadre akiweka shada la maua

Mwakilishi wa Mafratel akiweka shsda la Maua

Ibada ya mazishi ikiendelea

Ibada ya mazishi ikiendelea

Wawakilishi wa familia ya Marehemu wakiweka mashada ya maua

Mhashamu Baba askofu Edward Mapunda akiwa katika eneo la makaburi kwenye ibada ya mazishi