Mhashamu Baba askofu akitoa homilia katika misa ya mkesha wa Pasaka

Homilia ikiendelea katika misa ya mkesha wa Pasaka

Mhashamu Baba askofu akitoa Sakramenti ya Ubatizo katika Misa ya mkesha wa Pasaka

Wabatizwa muda mfupi kabla ya kuwasha mishumaa

Mhashamu Baba askofu Liberatus Sangu akiwawashia mishumaa wabatizwa muda mfupi baada ya kuwapa Sakramenti hiyo

Mhashamu Baba askofu akiendelea kuwasha mishumaa ya wabatizwa kwa kutumia mshumaa wa Pasaka

Wabatizwa wakiwa wamewasha ,mishumaa yao baada kupewa Sakramenti ya ubatizo.

Wabatizwa wakiwa wamewasha ,mishumaa yao baada kupewa Sakramenti ya ubatizo.

Mhashamu Baba askofu akiwabariki kwa maji ya baraka waamini waliokuwa katika Misa ya mkesha wa Pasaka.