• semina ya Elimu ya Muziki kwa waalimu wa Kwaya

Kamati ya Muziki Mtakatifu Jimbo Katoliki Shinyanga yaendesha semina ya Elimu ya Muziki kwa waalimu wa Kwaya katika Udekano wa Bariadi kuanzia tarehe 4 hadi 8 June 2018.