Sherehe ya kumpongeza Padre Anatoly Salawa kwa Jubilei ya miaka 25 ya Upadre, ambayo imefanyika katika viwanja vya Parokia, kanisa la Moyo safi wa Maria parokia ya Shinyanga Mjini nakuhudhuriwa na Mapadre,Watawa na Waamini kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya jimbo la Shinyanga.

Leave a Reply