UFUNGUZI NA KUTABARUKIWA KWA KANISA JIPYA LA MT.PETRO PAROKIA YA ILUMYA WILAYANI BUSEGA MKOANI SIMIYU (JIMBO KATORIKI LA SHINYANGA)

Kuonekana nje ya kanisa jipya la Mt.Petro.

Mmoja wa Wanaparokia wa Ilumya, ambaye pia ni Mkuu wa Ulinzi na Usalama (CDF) VENANCE MABEYO addressing details to the Shinyanga Organization’s Advice Church LIBERATUS on the construction of Mt. Peter’s church shortly before the church was opened.

Paroko ya Parokia ya Ilumya Pd. MICHAEL KUMALIJA akifungua New Church ya Mt.Petro baada ya kuondolewa na Waziri LIBERATUS SANGU.

Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU ni kuweka jiwe la msingi katika kanisa jipya la Mt.Petro kama ishara ya ufunguzi rasmi.

Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU inspired the application for the opening of the Mt.Petro church.

Viongozi mbalimbali wa Serikali na vikosi vya Ulinzi wakati wa Misa ya Ufunguzi na kutafsiriwa kwa Mt. Peter (the first left is Simiyu Regional Antony Mtaka region, three left is the Deputy Governor of the Central Bank .Dr. Benard confirmed, nne kushoto ni IGP Simon Siro na wa tano kushoto ni CDF Venance Mabeyo).

Mhashamu Baba Askofu LIBERATUS SANGU akibariki maji kwa ajili ya kubariki kanisa jipya la Mt.Petro (kushoto ni katibu wa Askofu Pd. Richard Makoye na kulia ni katibu wa Jimbo Pd. Pastory Masunga)

Askofu SANGU akibariki kanisa Jipya la Mt.Petro.

Askofu SANGU akipokea kitabu cha masomo kutoka kwa wasomaji ambao ni wanakwaya wa kwaya ya Mt.Maximilian Parokia ya Segerea Jimbo kuu la Dar es salaam.

Askofu SANGU akitoa Homilia katika misa ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro.

Askofu SANGU akiendelea na misa.

Askofu SANGU akitabaruku Altare ya kanisa jipya la Mt. Petro kwa kupaka mafuta matakatifu ya krisma.

Askofu SANGU akiendelea kutabaruku kanisa jipya la Mt.Petro.

Askofu SANGU akiwasha ubani ikiwa ni sehemu ya kutabaruku Altare.

Askofu SANGU akifukiza ubani Altare ya kanisa la Mt.Petro.

Askofu SANGU akiongoza Sala maalumu kwa ajili ya mshumaa utakaowekwa katika Altare baada ya kutabarukiwa.

Askofu SANGU akibariki Tablenakro ya kanisa jipya la Mt.Petro.

Askofu SANGU akiongoza sala maalumu kwa ajili ya kubariki tablenakro ya kanisa jipya la Mt.Petro.

Baba Askofu SANGU akipeana mkono wa amani na mkuu wa mkoa wa Simiyu ANTONY MTAKA, pembeni ni IGP SIMONI SIRRO.

(CDF) Venance Mabeyo akishiriki Ekaristi takatifu.

(IGP) Simon Sirro, akishiriki Ekaristi takatifu.

(RC) Antony Mtaka , akishiriki Ekaristi takatifu.

Askofu SANGU akisaini hati maalumu ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro

Paroko wa Parokia ya Ilumya Pd.Michael kumalija akisaini hati maalumu kwaajili ya ufunguzi wa kanisa la Mt.Petro

(CDF) Venance Mabeyo akisaini hati maalumu ya ufunguzi wa kanisa jipya la Mt.Petro kwaniaba ya waamini

Paroko wa Parokia ya Ilumya akionyesha hati maalumu ya uthibitisho wa kufunguliwa kwa kanisa jipya la Mt.Petro.

Picha ya pamoja ya Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu na (CDF) Venance Mabeyo ambae ametoa mchango mkubwa katika kufanikisha ujenzi wa kanisa jipya la Mt.Petro pamoja na mkewe Tinna Mabeyo ambae pia ni mwanakwaya wa kwaya ya Mt.Maximilian Segerea.

Askofu SANGU na IGP Simon Siro.

Askofu SANGU akiwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka.

Askofu SANGU akiwa na Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dr.Benard Kibesse.

Askofu SANGU akiwa na Viongozi wa Serikali na vyombo vya usalama.

Askofu SANGU akiwa na wanyaya wayaya ya Mt.Maximiliani Segerea, who sang in Mass.

Askofu SANGU akiwa na wanakwaya wa kwaya ya Mt.Kizito Makuburi Central DSM, who also sang in that mass.

Askofu SANGU akiwa na muimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho ambae alishiriki katika Misa ya kufunguliwa kwa kanisa la Mt.Petro.

Askofu SANGU akiteta jambo na (CDF) Mabeyo katika sherehe za nje mara baada ya misa ya kufungua na kutabaruku kanisa jipya la Mt.Petro.