Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne mheshimiwa Mizengo Pinda afanya ziara jimboni Shinyanga na kutembelea miradi mbalimbali ya Jimbo.