Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la shinyanga na Baba Askofu Ludovick Minde wa jimbo la Kahama wakiwa tayari kumpokea, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la shinyanga na Baba Askofu Ludovick Minde (wa kwanza kulia) wa jimbo la Kahama na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainabu Telack wakiwa tayari kumpokea, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akishuka kwenye Ndege baada ya kuwasilii katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akishuka kwenye Ndege baada ya kuwasilii katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde wa jimbo la Kahama akimpokea Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la Shinyanga akimpokea Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la shinyanga na Baba Askofu Ludovick Minde (wa pili kushoto) wa jimbo la Kahama na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainabu Telack akimkaribisha Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo katika mkoa wa Shinyanga baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kahama.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akiwa katika mazungumzo mafupi na wenyeji wake wakiwemo viongozi wa serikali ya mkoa wa Shinyanga muda baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama .

Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde wa jimbo la Kahama akimkaribisha Mwadhama Polycarp kadinali Pengo katika Jimbo la Kahama.

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la Shinyanga akimkaribisha Mwadhama Polycarp kadinali Pengo katika Jimbo la Shinyanga muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akiwa katika Picha ya pamoja na Wahashamu Mababa Askofu Liberatus Sangu wa JImbo la Shinyanga (wa kwanza kushoto) na Ludovick Minde wa Jimbo la Kahama.

Mwadhama Polycarp Pengo akiwasili katika Kanisa Kuu la MT.Karoli Lwanga Jimbo la Kahama.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiwa ndani ya kanisa Kuu la MT.Karoli Lwanga Jimbo la Kahama.

Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wakiwa ndani ya kanisa kuu la MT.Karoli Lwanga Jimbo la Kahama.

Askofu wa Jimbo la Kahama Mhashamu Ludovick Minde akimkaribisha Kadinali Pengo kuzungumza na kuwabariki waamini wa Jimbo la Kahama ndani ya Kanisa Kuu la MT.Karoli Lwanga.

Mwadhama akiwa ndani ya Kanisa kuu la MT. Karoli Lwanga Jimbo la Kahama pamoja na Baba Askofu Liberatus Sangu wa Jimbo la Shinyanga.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akizungumza na waamini wa Jimbo la Kahama katika Kanisa Kuu la MT.Karoli Lwanga JImbo la Kahama.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akiongoza Sala Maalumu ya kubariki mawe ya Msingi ambayo yatatumika katika miradi mbalimbali ya jimbo katoliki la Kahama.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akitoka ndani ya kanisa kuu la MT.Karoli Lwanga jimbo la Kahama baada ya kutoa baraka kwa waamini wa Jimbo la Kahama.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Parokia ya Buhangija Mjini Shinyanga, (kulia )ni Paroko wa Parokia ya Buhangija Padre Deograthias Ntindiko.

Mwadhama Polycarp kadinali Pengo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Parokia ya Buhangija Mjini Shinyanga.

Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu wa jimbo la Shinyanga akimkaribisha Polycarp Kadinali Pengo baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma Mjini Shinyanga.

Waamini wa Jimbo la Shinyanga wakiwa wanamsikiliza Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo baada ya kuwasili katika kanisa la Kuu la Mwenye Huruma la Ngokolo Mjini Shinyanga.

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akizungumza na waamini wa Jimbo la Shinyanga baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma Mjini Shinyanga,(kulia ) ni Paroko wa Parokia ya Ngokolo Padre Adolf Makandagu

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akitoka nje ya kanisa kuu baadaya kuwabariki waamini wa kanisa kuu la Mama Mwenye Huruma akiwa ameambatana na Baba Askofu Liberatus Sangu pamoja mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainabu Telack

Askofu Ludovick Minde wa Jimbo la Kahama akizungumza Jambo na Mwadhama Kadinali Pengo muda mfupi baadaya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kahama.